Skip to main content

ZELENSKYY AITUPIA LAWAMA MAREKANI KWA UCHELEWESHAJI WA SILAHA

Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy ametoa shutuma kwa Taifa la Marekani akidai linachelewesha usafirishaji wa makombora ya ulinzi wa anga ya Patriot, licha ya washirika wa Ulaya kuwa tayari kuyafadhili.

ZELENSKYY AITUPIA LAWAMA MAREKANI KWA UCHELEWESHAJI WA SILAHA
Studio Narration JAMBO FM

ZELENSKYY AITUPIA LAWAMA MAREKANI KWA UCHELEWESHAJI WA SILAH...

0:00 --:--

Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy ametoa shutuma kwa Taifa la Marekani akidai linachelewesha usafirishaji wa makombora ya ulinzi wa anga ya Patriot, licha ya washirika wa Ulaya kuwa tayari kuyafadhili.

Dhehena hiyo, inasubiri idhini ya Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Pete Hegseth, huku Ukraine ikiendelea kukabiliwa na mashambulizi ya Urusi.

Zelensky amedai nchi yake haikupata onyo kutoka kwa Marekani na washirika wengine kabla ya mashambulio ya Urusi.

WAKATI HUOHUO:

Matokeo ya awali ya kura nchini Canada yanaonesha zaidi ya theluthi mbili ya wapiga kura katika jimbo la Alberta wameunga mkono kubaki sehemu ya Canada.

Waziri Mkuu Mark Carney amesema matokeo hayo yanaonyesha msimamo wa wazi wa wananchi wa kutoamua kujitenga, licha ya kuwa viongozi wa Alberta kudai wataendeleza kampeni hiyo.

Join the conversation

What do you think about this story?

Share a useful perspective and keep the discussion respectful.

Keep reading

View all news
ON AIR
Jambo Assistant Tayari kukusaidia
JAMBO FM INTELLIGENCE

Kikomo cha maswali 6 kimefikiwa.Jaribu tena baada ya .
Utafiti utafunguka kwenye ukurasa kamili

Majibu ya AI yanaweza kuwa na makosa.