Klabu ya Soka ya Yanga imevunja mkataba na Kocha Mkuu wa timu hiyo, Mangqoba Mngqithi na kusitisha mkataba wa Kocha wa Viungo, Chyna Mokaila.

Taarifa iliyotolewa na Yanga SC hii leo, Oktoba 24, 2026, imeeleza kuwa Uongozi wao umefikia uamuzi huo na kuwashukuru Makocha hao kwa mchango wao katika kipindi walichohudumu.

Discussion
Reader comments
0 contributions