Skip to main content

WIZARA YA FEDHA YAOMBA KUIDHINISHIWA TRILIONI 21.3

Wizara ya Fedha, imeomba Bunge kuidhinishiwa jumla ya TZS trilioni 21.3 kwa ajili ya utekelezaji wa majukumu ya wizara hiyo pamoja na taasisi zake kwa Mwaka wa Fedha 2026/27.

Kati ya fedha hizo ambazo zi.eombwa na Wizara Bungeni jijini Dodoma, shilingi trilioni 19.4 zitatumika kwa matumizi ya kawaida huku shilingi trilioni 1.8 zikielekezwa kwenye miradi ya maendeleo.

Join the conversation

What do you think about this story?

Share a useful perspective and keep the discussion respectful.

Keep reading

View all news
ON AIR
Jambo Assistant Tayari kukusaidia
JAMBO FM INTELLIGENCE

Kikomo cha maswali 6 kimefikiwa.Jaribu tena baada ya .
Utafiti utafunguka kwenye ukurasa kamili

Majibu ya AI yanaweza kuwa na makosa.