Skip to main content

WAZIRI MKUU AMUWAKILISHA RAIS SAMIA UFUNGUZI MKUTANO WA 153 IPU

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika ufunguzi wa mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).

WAZIRI MKUU AMUWAKILISHA RAIS SAMIA UFUNGUZI MKUTANO WA 153 IPU
Studio Narration JAMBO FM

WAZIRI MKUU AMUWAKILISHA RAIS SAMIA UFUNGUZI MKUTANO WA 153...

0:00 --:--

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika ufunguzi wa mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).

Dkt. Mwigulu aliwasili katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC) kwa ajili ya kushiriki Mkutano huo uliowakutanisha wageni wa Mataifa mbalimbali.

Mkutano huo unafanyika kuanzia Oktoba 5 hadi 9, 2026, ukiwakutanisha wajumbe kutoka mabunge ya mataifa 183 na washiriki zaidi ya 2000 kutoka maeneo mbalimbali duniani.

#IPU153Tanzania

Join the conversation

What do you think about this story?

Share a useful perspective and keep the discussion respectful.

Keep reading

View all news
ON AIR
Jambo Assistant Tayari kukusaidia
JAMBO FM INTELLIGENCE

Kikomo cha maswali 6 kimefikiwa.Jaribu tena baada ya .
Utafiti utafunguka kwenye ukurasa kamili

Majibu ya AI yanaweza kuwa na makosa.