Skip to main content

WANANCHI ZAIDI YA 5,300 WAANZA KUNUFAIKA NA HUDUMA ZA BIMA YA AFYA MBULU

Na Afarah Suleiman, Mbulu - Manyara.

WANANCHI ZAIDI YA 5,300 WAANZA KUNUFAIKA NA HUDUMA ZA BIMA YA AFYA MBULU

Na Afarah Suleiman, Mbulu - Manyara.

Wananchi zaidi ya 5,300 wilayani Mbulu Mkoani Manyara, wameanza kunufaika na huduma za bima ya afya kwa wote katika kipindi cha awamu ya kwanza .

hayo yamesemwa na Kamisaa wa Chama cha Mapinduzi (CCM), ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Mbulu, Michael Semindu wakati akiwasilisha taarifa ya ilani ya chama hicho katika kikao cha halamshauri kuu wilayani humo.

Mkuu wa Wilaya ya Mbulu, Michael Semindu.

Kwa upande wake Mratibu wa mpango wa Bima ya Afya kwa wote Halmashauri ya Mji wa Mbulu, Basiri Fabian Manda amesema Halmashauri hiyo imepata mafanikio katika mpango huo kwa awamu ya kwanza na sasa wamanaendelea na a usajili. kwa awamu ya pili.

Naye Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Mbulu, ameitaka serikali kusimamia vyema na kutekeleza ilani ya chama hicho, ili kuleta maendeleo kwa Wananchi.

Mratibu wa mpango wa Bima ya Afya Halmashauri ya Mji wa Mbulu, Basiri Fabian Manda.

Join the conversation

What do you think about this story?

Share a useful perspective and keep the discussion respectful.

Keep reading

View all news
ON AIR
Jambo Assistant Tayari kukusaidia
JAMBO FM INTELLIGENCE

Kikomo cha maswali 6 kimefikiwa.Jaribu tena baada ya .
Utafiti utafunguka kwenye ukurasa kamili

Majibu ya AI yanaweza kuwa na makosa.