Skip to main content

WANANCHI WAMSIFU DKT. SAMIA KWA UWEKEZAJI KWENYE MICHEZO

Hatua ya Timu ya Taifa kwa vijana wenye umri chini ya miaka 17 kucheza fainali ya Mataifa Bingwa Afrika (AFCON U17), imewaibua wananchi, walioyahusisha mafanikio hayo na uwekezaji uliofanywa na Dkt Samia Suluhu Hassan katika michezo.

Wananchi hao wameeleza hayo leo, Jumanne Juni 2, 2026 walipofika katika maeneo mbalimbali kulikofungwa skrini kubwa kushuhudia mechi ya fainali kati ya Serengeti Boys dhidi ya Senegal

Join the conversation

What do you think about this story?

Share a useful perspective and keep the discussion respectful.

Keep reading

View all news
ON AIR
Jambo Assistant Tayari kukusaidia
JAMBO FM INTELLIGENCE

Kikomo cha maswali 6 kimefikiwa.Jaribu tena baada ya .
Utafiti utafunguka kwenye ukurasa kamili

Majibu ya AI yanaweza kuwa na makosa.