Skip to main content

WAKULIMA, WAFUNGAJI WAASWA KUTOJICHUKULIA SHERIA MKONONI

Wakulima na Wafungaji, wametakiwa kuacha kujichukulia Sheria mkononi na badala yake kutumia kamati za usuluhishi kutatua migogoro yao kwa mujibu wa Sheria.

WAKULIMA, WAFUNGAJI WAASWA KUTOJICHUKULIA SHERIA MKONONI
Studio Narration JAMBO FM

WAKULIMA, WAFUNGAJI WAASWA KUTOJICHUKULIA SHERIA MKONONI

0:00 --:--

Wakulima na Wafungaji, wametakiwa kuacha kujichukulia Sheria mkononi na badala yake kutumia kamati za usuluhishi kutatua migogoro yao kwa mujibu wa Sheria.

Wito huo, umetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Stanslaus Nyongo ambaye amewataka viongozi wa Vijiji na Vitongoji kuandaa mipango ya matumizi ya ardhi kwa kutenga maeneo ya kilimo, ufugaji na makazi.

Aidha, amewasisitiza Wafungaji kudhibiti mifugo yao, ili isiharibu mazao ya Wakulina na kukemea vitendo vya wizi wa mifugo ambavyo vimekuwa vikisababisha hasara.

Nyongo pia ametaka uchukuaji wa ttahadhari kwa Wananchi dhidi ya mvua za el-nino, kushiriki Awamu ya Pili ya Chanjo ya Mifugo na kujiandikisha awamu yyapili ya mpango wa Bima ya Afya kwa wote.

Join the conversation

What do you think about this story?

Share a useful perspective and keep the discussion respectful.

Keep reading

View all news
ON AIR
Jambo Assistant Tayari kukusaidia
JAMBO FM INTELLIGENCE

Kikomo cha maswali 6 kimefikiwa.Jaribu tena baada ya .
Utafiti utafunguka kwenye ukurasa kamili

Majibu ya AI yanaweza kuwa na makosa.