Skip to main content

WAKANDARASI WA UMEME WASIOFANYA VIZURI WASIPEWE MIRADI MINGINE - NDEJEMBI

Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi, ameuelekeza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kuhakikisha kuwa wakandarasi ambao hawajafanya vizuri katika utekelezaji wa miradi ya umeme inayosimamiwa na Wakala huo kutopewa kazi nyingine, ili kutokwamisha lengo la Serikali la kuwafikishia wananchi huduma ya umeme kwa wakati na kwa ufanisi.

Ndejembi ametoa maelekezo hayo hii leo Juni 22, 2026 jijini Dar es Salaam wakati wa mkutano kati ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA), wakandarasi wa miradi ya umeme pamoja na wadau wa miradi ya nishati vijijini.

Kikao hicho kilienda sambamba na utoaji wa tuzo kwa wakandarasi waliofanya vizuri katika utekelezaji wa miradi ya umeme vijijini na vitongojini, ikiwemo waliokamilisha kazi mapema kabla ya muda

Join the conversation

What do you think about this story?

Share a useful perspective and keep the discussion respectful.

Keep reading

View all news
ON AIR
Jambo Assistant Tayari kukusaidia
JAMBO FM INTELLIGENCE

Kikomo cha maswali 6 kimefikiwa.Jaribu tena baada ya .
Utafiti utafunguka kwenye ukurasa kamili

Majibu ya AI yanaweza kuwa na makosa.