Skip to main content

WABUNGE WALIOENDA MOROCCO BILA KIBALI WATAKIWA KUJIELEZA

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Zungu ametoa siku nne kwa wabunge waliokwenda Morocco bila kibali cha Spika kujieleza, sambamba na kuto onyo kwa wabunge watoro.

Zungu ametoa agizo hilo hii leo Juni 4, 2026, Bungeni jijini Dodoma, huku akimuagiza Katibu wa Bunge kuwaandikia barua ili wafuate kilichoelekezwa na watakaokiuka hatua za kinidhamu zichukuliwe dhidi yao.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Zungu.

Wabunge hao, walikuwa ni sehemu ya mashabiki waliokwenda Morocco kushuhudia fainali ya Mataifa Afrika (U17), kati ya Serengeti Boys na Senegal.

Mechi hiyo ilichezwa katika Uwanja Uwanja wa Prince Moulay Hassan, Rabat ambapo Senegal iliibuka na ushindi wa penalti 4-3 baada ya dakika 90 kumalizika kwa sare ya bao 1 -1.

Join the conversation

What do you think about this story?

Share a useful perspective and keep the discussion respectful.

Keep reading

View all news
ON AIR
Jambo Assistant Tayari kukusaidia
JAMBO FM INTELLIGENCE

Kikomo cha maswali 6 kimefikiwa.Jaribu tena baada ya .
Utafiti utafunguka kwenye ukurasa kamili

Majibu ya AI yanaweza kuwa na makosa.