Skip to main content

VUNJA BEI ASHINDA KWA KISHINDO KURA ZA MAONI YA UBUNGE ISIMANI

Mfanyabiashara Fred Ngajiro (Fred Vunjabei) ameshinda kura za maoni za uchaguzi wa ndani wa jimbo la Isimani kwa kura zaidi ya elfu mbili.

Jimbo la Isimani lilikua na Wagombea 18 ambapo Fred Vunja bei amepata kura 2,703 akifatiwa na Festo Kiswaga aliepata kura 873, mtu wa tatu ni DC Emmanuela Mtatifikolo aliepata kura 621.

Fred Ngajiro.

Uchaguzi huu unakuja baada ya aliyekua Mbunge wa jimbo hilo, William Vangimembe Lukuvi kufariki Dunia wiki chache zilizopita.

Join the conversation

What do you think about this story?

Share a useful perspective and keep the discussion respectful.

Keep reading

View all news
ON AIR
Jambo Assistant Tayari kukusaidia
JAMBO FM INTELLIGENCE

Kikomo cha maswali 6 kimefikiwa.Jaribu tena baada ya .
Utafiti utafunguka kwenye ukurasa kamili

Majibu ya AI yanaweza kuwa na makosa.