Skip to main content

UTAJIRI WA RASILIMALI ZILIZOPO UNAPASWA KUWANUFAISHA WATANZANIA WA LEO, VIZAZI VIJAVYO - MWIGULU

Utajiri wa rasilimali uliopo nchini, unapaswa kuwanufaisha Watanzania wa leo, watoto na vitukuu siku zijazo.

Hayo yamesemwa hii leo Novemba 5, 2026 Bungeni jijini Dodoma na na Waziri Mkuu, Dkt Mwigulu Nchemba wakati wa kipindi cha maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu, katika Mkutano wa Tano, Kikao cha Nane cha Bunge la 13.

Amesema, "Serikali inaendelea na maandalizi ya kuanzisha mfuko wa kutunza mapato yatokanayo na madini, sambamba na utaratibu uliopo wa kuhifadhi mapato ya gesi kwa ajili ya vizazi vijavyo."

Waziri Mkuu alikuwa akijibu swali la Mbunge wa Buchosa, Erick James Shigongo, kuhusu kuhifadhi manufaa ya rasilimali za Taifa kwa vizazi vijavyo.

Join the conversation

What do you think about this story?

Share a useful perspective and keep the discussion respectful.

Keep reading

View all news
ON AIR
Jambo Assistant Tayari kukusaidia
JAMBO FM INTELLIGENCE

Kikomo cha maswali 6 kimefikiwa.Jaribu tena baada ya .
Utafiti utafunguka kwenye ukurasa kamili

Majibu ya AI yanaweza kuwa na makosa.