Skip to main content

UCHELEWESHWAJI WA FEDHA WAKWAMISHA SHUGHULI ZA KAUNTI KIUTENDAJI, HUDUMA ZA KIJAMII KENYA

Serikali za Kaunti nchini Kenya, zinakabiliwa na changamoto za kiuendeshaji, kutokana na Serikali kuu kuchelewesha fedha.

UCHELEWESHWAJI  WA FEDHA WAKWAMISHA SHUGHULI ZA KAUNTI KIUTENDAJI, HUDUMA ZA KIJAMII KENYA
Studio Narration JAMBO FM

UCHELEWESHWAJI WA FEDHA WAKWAMISHA SHUGHULI ZA KAUNTI KIUTE...

0:00 --:--

Serikali za Kaunti nchini Kenya, zinakabiliwa na changamoto za kiuendeshaji, kutokana na Serikali kuu kuchelewesha fedha.

Kaunti zimetoa malalqmiko hayo huku zikiqrifu kiwa zimeathirika katika utoaji wa huduma muhimu kwa wananchi.

Aisha, zimedai kuwa utekelezaji wa miradi ya maendeleo, ulipaji wa mishahara, pamoja na madeni ya wazabuni na watoa huduma katika maeneo mbalimbali pia umetatizwa.

Join the conversation

What do you think about this story?

Share a useful perspective and keep the discussion respectful.

Keep reading

View all news
ON AIR
Jambo Assistant Tayari kukusaidia
JAMBO FM INTELLIGENCE

Kikomo cha maswali 6 kimefikiwa.Jaribu tena baada ya .
Utafiti utafunguka kwenye ukurasa kamili

Majibu ya AI yanaweza kuwa na makosa.