Skip to main content

TUTASHIRIKIANA NA KENYA KUWEZESHA UBUNIFU KWA VIJANA - DKT. SAMIA

Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali inalenga kushirikiana na Kenya kuwawezesha vijana katika masuala ya ubunifu na teknolojia.

TUTASHIRIKIANA NA KENYA KUWEZESHA UBUNIFU KWA VIJANA - DKT. SAMIA
Studio Narration JAMBO FM

TUTASHIRIKIANA NA KENYA KUWEZESHA UBUNIFU KWA VIJANA - DKT....

0:00 --:--

Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali inalenga kushirikiana na Kenya kuwawezesha vijana katika masuala ya ubunifu na teknolojia.

Amesema hatua hiyo, inalenga kuyafanya mataifa hayo yawe na mnyororo mmoja wa mafunzo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) kwa vijana wake.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Dkt Samia ameyasema hayo leo, Jumatatu Mei 4, 2026 alipozungumza na waandishi wa habari, baada ya kikao cha uwili na Rais wa Kenya, William Ruto aliyepo nchini kwa ziara ya siku mbili.

“Isiwe kama sasa hivi, ukiingia kwenye mitandao ya kijamii mheshimiwa Rais alalalalaa… wanatutukana wenyewe na mwisho wana-cross wanatukanana wenyewe kwa wenyewe,” amesema.

Join the conversation

What do you think about this story?

Share a useful perspective and keep the discussion respectful.

Keep reading

View all news
ON AIR
Jambo Assistant Tayari kukusaidia
JAMBO FM INTELLIGENCE

Kikomo cha maswali 6 kimefikiwa.Jaribu tena baada ya .
Utafiti utafunguka kwenye ukurasa kamili

Majibu ya AI yanaweza kuwa na makosa.