Skip to main content

TANZIA: ZAY B AMEAGA DUNIA

Msanii wa Bongo Fleva aliyewahi kutamba miaka ya 2000 na kibao chake cha niko gado, Zainab Lipangile aka 'Zay B' amefariki dunia.

TANZIA: ZAY B AMEAGA DUNIA

Msanii wa Bongo Fleva aliyewahi kutamba miaka ya 2000 na kibao chake cha niko gado, Zainab Lipangile aka 'Zay B' amefariki dunia.

Zay B amefariki hii leo Mei 31, 1026 na alitarajia kuzikwa saa 10:00 jioni makaburi ya Tabata Kinyerezi, kituo cha Msikitini ambapo msiba wake upo.

Zay B alikuwa ni moja ya rapa wa kike walioacha alama kubwa kwenye historia ya muziki wa Bongo Fleva nchini Tanzania.

Zainab Lipangile (Zay B).

Join the conversation

What do you think about this story?

Share a useful perspective and keep the discussion respectful.

Keep reading

View all news
ON AIR
Jambo Assistant Tayari kukusaidia
JAMBO FM INTELLIGENCE

Kikomo cha maswali 6 kimefikiwa.Jaribu tena baada ya .
Utafiti utafunguka kwenye ukurasa kamili

Majibu ya AI yanaweza kuwa na makosa.