Mume wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan, Hafidh Ameir, amefariki dunia hii leo Septemba 7, 2026.
Taarifa za kifo cha Hafidh Ameir, zimetangazwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi.

Discussion
Reader comments
0 contributions