Skip to main content

TANZIA: LALA SALAMA MZEE MPILI

Shabiki maarufu wa Klabu ya Soka ya Yanga, Haji Ramadhan Mpili al-maarufu kama Mzee Mpili amefariki dunia huko Ikwiriri, Rufiji Mkoani Pwani.

TANZIA: LALA SALAMA MZEE MPILI
Studio Narration JAMBO FM

TANZIA: LALA SALAMA MZEE MPILI

0:00 --:--

Shabiki maarufu wa Klabu ya Soka ya Yanga, Haji Ramadhan Mpili al-maarufu kama Mzee Mpili amefariki dunia huko Ikwiriri, Rufiji Mkoani Pwani.

Mzee mpili ambaye alikuwa ni Mwanachama wa Klabu hiyo ya Twiga na Jangwani, alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya uzee na anatarajiwa kuzikwa hii leo Septemba 28, 2026 majira ya saa 10:00 za jioni .

Kufuatia msiba huo, Uongozi wa Klabu ya Yanga umeroa salamu za pole kwa wafiwa, mashabiki na wapenzi wa Soka.

Join the conversation

What do you think about this story?

Share a useful perspective and keep the discussion respectful.

Keep reading

View all news
ON AIR
Jambo Assistant Tayari kukusaidia
JAMBO FM INTELLIGENCE

Kikomo cha maswali 6 kimefikiwa.Jaribu tena baada ya .
Utafiti utafunguka kwenye ukurasa kamili

Majibu ya AI yanaweza kuwa na makosa.