Kaka wa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Wakili Alute Mughwai Lissu, amefariki dunia.

Wakili Alute amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo, Novemba 1, 2026 ambapo taarifa za kifo chake zimethibitishwa na dada yake, Rose Masesa.
Discussion
Reader comments
0 contributions