Skip to main content

TANZIA: SELEMANI BUNGALA 'BWEGE' AMETANGULIA

Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kilwa Kusini, Seleman Bungara (Bwege), amefariki Dunia hii leo akiwa anapatiwa matibabu katika Hospitali moja ya binafsi iliyopo Kigamboni, jijini Dar es Salaam,

Taarifa za awali zinadai kiwa Bwege alifikishwa Hospitalini hapo kwa ajili ya utaratibu wa kawaida wa kimatibabu na ndipo umauti ukamfika.

Seleman Bungara (Bwege).

Bwege amewahi kutumikia nyqdh8fq mbalimbali za kisiasa katika vyama vya CUF, ACT Wazalendo na hivi karibuni alitangaza rasmi kujiunga na CHADEMA kabla ya umauti kumfika.

Join the conversation

What do you think about this story?

Share a useful perspective and keep the discussion respectful.

Keep reading

View all news
ON AIR
Jambo Assistant Tayari kukusaidia
JAMBO FM INTELLIGENCE

Kikomo cha maswali 6 kimefikiwa.Jaribu tena baada ya .
Utafiti utafunguka kwenye ukurasa kamili

Majibu ya AI yanaweza kuwa na makosa.