Skip to main content

SPIKA ZUNGU ATAKA SULUHISHO UPATIKANAJI WA MAFUTA NCHINI

Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu ameilekeza Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini kukutana na Waziri wa Nishati kwa ajili ya kujadili hali pamoja na gharama ya upatikanaji wa mafuta nchini.

Zungu ametoa maelekezo hayo hii leo Aprili 1, 2026 Bungeni Jijini Dodoma.

Join the conversation

What do you think about this story?

Share a useful perspective and keep the discussion respectful.

Keep reading

View all news
ON AIR
Jambo Assistant Tayari kukusaidia
JAMBO FM INTELLIGENCE

Kikomo cha maswali 6 kimefikiwa.Jaribu tena baada ya .
Utafiti utafunguka kwenye ukurasa kamili

Majibu ya AI yanaweza kuwa na makosa.