Serikali kupitia Bodi ya Taaluma ya Ualimu Tanzania (TTPC) imeanza kuratibu na kutoa leseni za kufundisha kwa Walimu nchini.
Hayo yamebainishwa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda na kudai kuwa hatua hiyo inalenga kuongeza thamani, heshima na nidhamu katika taaluma ya ualimu.

Mbali na kusudio hilo, pia wanalenga kuhakikisha kila anayefundisha anatimiza vigezo vinavyotambuliwa kisheria.
Discussion
Reader comments
0 contributions