Skip to main content

SENEGAL WATWAA UBINGWA AFCON U17

Timu ya Taifa ya Senegal ya U17 imeshinda Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON), 2026 baada ya kuifunga Serengeti Boys ya Tanzania kwa mikwaju ya penati 4-2.

SENEGAL WATWAA UBINGWA AFCON U17

Timu ya Taifa ya Senegal ya U17 imeshinda Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON), 2026 baada ya kuifunga Serengeti Boys ya Tanzania kwa mikwaju ya penati 4-2.

Hatua ya Penati ilikuja baada ya Tanzania na Senegal kutoshana nguvu ya 1-1 kisha Senegal kutwaa ubingwa huo kwa mara ya pili, kufuatia ushindi wa mara ya kwanza mwaka 2023.

FT: Senegal 1-1 Tanzania

Penati 4-2

Join the conversation

What do you think about this story?

Share a useful perspective and keep the discussion respectful.

Keep reading

View all news
ON AIR
Jambo Assistant Tayari kukusaidia
JAMBO FM INTELLIGENCE

Kikomo cha maswali 6 kimefikiwa.Jaribu tena baada ya .
Utafiti utafunguka kwenye ukurasa kamili

Majibu ya AI yanaweza kuwa na makosa.