Na Afarah Suleiman, Kiteto - Manyara.
Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga amewakaribisha Wadau na wawekezaji kutoka maeneo mbalimbali nchini, kuwekeza katika mkoa wa Manyara.
Sendiga ametoa karibisho hilo wakati akiweka jiwe la msingi kwenye kituo cha mafuta cha KSK Oil, kilichopo wilayani Kiteto, Mkoani humo.
Katika hafla hiyo, Sendiga amemuagiza Mkuu wa Wilaya na Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya hiyo, kuhakikisha wanatenga maeneo kwa ajili ya uwekezaji.





Discussion
Reader comments
0 contributions