Skip to main content

RC SENDIGA AIPA TANO SIMANJIRO KWA KUPATA HATI SAFI

Na Afarah Suleiman, Simanjiro - Manyara.

RC SENDIGA AIPA TANO SIMANJIRO KWA KUPATA HATI SAFI

Na Afarah Suleiman, Simanjiro - Manyara.

Mkuu wa mkoa wa Manyara, Queen Sendiga ameipongeza Halmashauri ya Wilaya Simanjiro kwa kupata hati safi kwa miaka mitatu mfululizo.

Pongezi hizo, amezitoa kwenye kikao cha Baraza la hoja za Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), katika halamashari hiyo.

Katika hatua nyingine Sendiga amezindua gari la Halmashauri hiyo lenye thamni ya Shilingi Milioni 180, litakalotumika kwenye shughuli mbalimbali.

Join the conversation

What do you think about this story?

Share a useful perspective and keep the discussion respectful.

Keep reading

View all news
ON AIR
Jambo Assistant Tayari kukusaidia
JAMBO FM INTELLIGENCE

Kikomo cha maswali 6 kimefikiwa.Jaribu tena baada ya .
Utafiti utafunguka kwenye ukurasa kamili

Majibu ya AI yanaweza kuwa na makosa.