Skip to main content

RAIS SAMIA: TANZANIA INAJIVUNIA KUWA MWENYEJI MKUTANO WA IPU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali ya Tanzania inajivunia kupewa nafasi ya kuwa mwenyeji wa Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).

RAIS SAMIA: TANZANIA INAJIVUNIA KUWA MWENYEJI MKUTANO WA IPU
Studio Narration JAMBO FM

RAIS SAMIA: TANZANIA INAJIVUNIA KUWA MWENYEJI MKUTANO WA IPU

0:00 --:--

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali ya Tanzania inajivunia kupewa nafasi ya kuwa mwenyeji wa Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).

Mkuu huyo wa nchi, ameyasema hayo leo, Oktoba 5, 2026 katika ujumbe wake kwa washiriki wa mkutano wa IPU unaofanyika Arusha kuanzia Oktoba 5 hadi 7, mwaka huu.

Amesema hatua ya Tanzania kuwa mwenyeji wa mkutano huo, inaimarisha utendaji wa Serikali na kuongeza uwajibikaji kwa wananchi.

“Serikali yangu inalitazama jukumu hilo kwa umuhimu mkubwa, ikitambua kwamba nafasi ya Bunge inaongeza nguvu katika kazi ya Serikali na katika uwajibikaji tunaodaiwa kwa wananchi wa Tanzania,” amesema.

#IPU153Tanzania

Join the conversation

What do you think about this story?

Share a useful perspective and keep the discussion respectful.

Keep reading

View all news
ON AIR
Jambo Assistant Tayari kukusaidia
JAMBO FM INTELLIGENCE

Kikomo cha maswali 6 kimefikiwa.Jaribu tena baada ya .
Utafiti utafunguka kwenye ukurasa kamili

Majibu ya AI yanaweza kuwa na makosa.