Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma Oktoba 30, 2026.

Hayo yamebainishwa na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa ambaye amesema ujenzi wa mji huo, umegharimu kiasi cha Tshs Bil. 700.
Discussion
Reader comments
0 contributions