Skip to main content

RAIS SAMIA KUSHIRIKI UCHAGUZI MDOGO WA UBUNGE CHAMWINO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Novemba 4, 2026, anatarajiwa kushiriki Uchaguzi Mdogo wa Ubunge katika Jimbo la Chamwino, mkoani Dodoma.

RAIS SAMIA KUSHIRIKI UCHAGUZI MDOGO WA UBUNGE CHAMWINO
Studio Narration JAMBO FM

RAIS SAMIA KUSHIRIKI UCHAGUZI MDOGO WA UBUNGE CHAMWINO

0:00 --:--

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Novemba 4, 2026, anatarajiwa kushiriki Uchaguzi Mdogo wa Ubunge katika Jimbo la Chamwino, mkoani Dodoma.

Rais Dkt. Samia natarajia kupiga kura katika Kituo Namba Tano kilichopo Ofisi ya Kijiji cha Chamwino, Wilaya ya Chamwino.

Uchaguzi huo unafanyika kujaza nafasi iliyoachwa wazi na aliyekuwa Mbunge wa qjimbo hilo, Deogratius John Ndejembi, ambaye Agosti 2026 aliteuliwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Join the conversation

What do you think about this story?

Share a useful perspective and keep the discussion respectful.

Keep reading

View all news
ON AIR
Jambo Assistant Tayari kukusaidia
JAMBO FM INTELLIGENCE

Kikomo cha maswali 6 kimefikiwa.Jaribu tena baada ya .
Utafiti utafunguka kwenye ukurasa kamili

Majibu ya AI yanaweza kuwa na makosa.