Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemjulia hali Mlezi wa Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha ACT Wazalendo, Sheikh Rashid Hamad Othman anayepatiwa matibabu katika Hospitali ya Aga Khan Jijini Dar es Salaam.
Akiwa hospitalini hapo, Rais Dkt. Samia pia alimjulia hali Mchezaji wa Yanga, Pacome Zouzoua na kumpa pole kufuatia majeraha aliyopata katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya JKT Tanzania.


Discussion
Reader comments
0 contributions