Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ametembelea Mabanda ya maonesho muda mchache kabla ya Uzinduzi wa Minara 758, Maunganisho ya Mkongo wa Mawasiliano.
Muunganisho huo utazifikia Wilaya 85 ambapo pia Makabidhiano ya Mkongo wa Mawasiliano Serikalini yalifanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma hii Leo Aprili 10, 2026.





Discussion
Reader comments
0 contributions