Skip to main content

RAIS SAMIA ASHIRIKI MAADHIMISHO SIKU YA MASHUJAA DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Julai 25, 2026, ameshiriki maadhimisho ya Kumbukumbu ya Siku ya Mashujaa yaliyofanyika katika Mji wa Serikali Mtumba, mkoani Dodoma.

RAIS SAMIA ASHIRIKI MAADHIMISHO SIKU YA MASHUJAA DODOMA
https://www.facebook.com/share/v/1NrWhRCh4y/

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Julai 25, 2026, ameshiriki maadhimisho ya Kumbukumbu ya Siku ya Mashujaa yaliyofanyika katika Mji wa Serikali Mtumba, mkoani Dodoma.

Katika maadhimisho hayo, Rais Samia aliweka Silaha za Jadi na shada la maua kwenye Mnara wa Kumbukumbu ya Mashujaa kwa ajili ya kuwakumbuka mashujaa waliopigania na kulinda taifa.

Shughuli hiyo pia ilihusisha gwaride maalumu la maombolezo lililoandaliwa kwa heshima ya mashujaa wa taifa.

Join the conversation

What do you think about this story?

Share a useful perspective and keep the discussion respectful.

Keep reading

View all news
ON AIR
Jambo Assistant Tayari kukusaidia
JAMBO FM INTELLIGENCE

Kikomo cha maswali 6 kimefikiwa.Jaribu tena baada ya .
Utafiti utafunguka kwenye ukurasa kamili

Majibu ya AI yanaweza kuwa na makosa.