Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amepiga kura kwenye Kituo cha kupigia kura cha Ofisi ya Kijiji cha Chamwino mkoani Dodoma.
Rais Samia hii leo Novemba 4, 2026 ameshiriki zoezi hilo katika Uchaguzi mdogo wa Ubunge wa Jimbo la Chamwino.
Uchaguzi huo unafanyika kufuatia aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo, Deogratius Ndejembi kuteuliwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.




Discussion
Reader comments
0 contributions