Skip to main content

RAIS SAMIA AKUTANA NA WAGOMBEA URAIS WA OKTOBA 2025

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Wagombea wa Nafasi ya Urais na Wagombea Wenza, kutoka vyama vya Siasa 16 vilivyoshiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025.

Mazungumzo hayo yalifanyika Ikulu jijini Dar es Salaam Machi 31, 2026.

u

Join the conversation

What do you think about this story?

Share a useful perspective and keep the discussion respectful.

Keep reading

View all news
ON AIR
Jambo Assistant Tayari kukusaidia
JAMBO FM INTELLIGENCE

Kikomo cha maswali 6 kimefikiwa.Jaribu tena baada ya .
Utafiti utafunguka kwenye ukurasa kamili

Majibu ya AI yanaweza kuwa na makosa.