PICHA: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Matukio tofauti ya picha alipoongoza Watanzania kuaga mwili wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Jimbo la Isimani, Marehemu William Lukuvi.
Mwili wa Lukuvi umeagwa katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es salaam hii leo Machi 28, 2026.
Lukuvi alifariki Dunia Machi 25, 2026 alipokuwa akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Bejamin Mkapa jijini Dodoma.









Discussion
Reader comments
0 contributions