Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limessma linachunguza tukio la David Joseph Mhangja, anayejulikana pia kama David Djumbe, anayedaiwa kuchukuliwa na watu wasiojulikana katika eneo la Bunju.
Taqrifq iliyotolewa na Jeshi lo imeeleza kuwa, waligundua kuwa Djumbe alikuwa ndani ya gari aina ya Toyota Wish lenye namba za usajili T 609 DTD, lililoendeshwa na Allan Elisonguo Macha.

"Baadaye kulikuwa na taarifa kwamba Djumbe alionekana katika ofisi za Chadema Mikocheni, lakini polisi walipofika hawakumpata," ilielezwa.
Hata hivyo, taarifa hiyo inathibitisha kuwa Djumbe amepatikana, na uchunguzi unaendelea kubaini ni nani waliomhusisha na tukio hilo na sababu zake.

Discussion
Reader comments
0 contributions