Waziri wa Katiba wa Uganda, Norbert Mao amearifu uwepo kwa mazungumzo, ili kupata ufumbuzi wa kuzuiwa kwa mwanasiasa mkongwe wa upinzani, Kizza Besigye, anayekabiliwa na mashtaka ya uhaini.

Waziri huyo, ameyasema hayo mapema wiki hii, huku chama cha siasa cha Besigye cha People's Front for Freedom (PFF), kikisema mlengwa (Besigye) hana taarifa za kuwepo kwa mazungumzo hayo.
Discussion
Reader comments
0 contributions