Skip to main content

ONGEZEKO BEI YA MAFUTA: MADEREVA WAGOMA, WANANCHI WATEMBEA KWA MIGUU KENYA

Nchini Kenya wasafiri katika jiji la Nairobi wameubwa na sintofahamu baada ya waendesha matatu (daladala) kusimamisha huduma za usafiri wa umma kupinga ongezeko la bei ya mafuta.

ONGEZEKO BEI YA MAFUTA: MADEREVA WAGOMA, WANANCHI WATEMBEA KWA MIGUU KENYA
Studio Narration JAMBO FM

ONGEZEKO BEI YA MAFUTA: MADEREVA WAGOMA, WANANCHI WATEMBEA K...

0:00 --:--

Nchini Kenya wasafiri katika jiji la Nairobi wameubwa na sintofahamu baada ya waendesha matatu (daladala) kusimamisha huduma za usafiri wa umma kupinga ongezeko la bei ya mafuta.

Hata hivyo, mgomo huo, umewapa nafasi madereva binafsi na waendesha bodaboda kupandisha nauli kwa viwango vikubwa, huku wengi wakitafuta usafiri mbadala na wengine kulazimika kutembea kwa miguu.

Join the conversation

What do you think about this story?

Share a useful perspective and keep the discussion respectful.

Keep reading

View all news
ON AIR
Jambo Assistant Tayari kukusaidia
JAMBO FM INTELLIGENCE

Kikomo cha maswali 6 kimefikiwa.Jaribu tena baada ya .
Utafiti utafunguka kwenye ukurasa kamili

Majibu ya AI yanaweza kuwa na makosa.