Skip to main content

NIMEVUTIWA NA FURSA MJI WA SERIKALI MTUMBA - JESCA KITAMBAA CHEUPE

Mfanyabiashara na Mkurugenzi wa Kitambaa cheupe Investment, Jessica Kikumbi, amepongeza maendeleo ya Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma, akieleza kuwa miundombinu yake ya kisasa ni hatua muhimu katika kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi.

NIMEVUTIWA NA FURSA MJI WA SERIKALI MTUMBA - JESCA KITAMBAA CHEUPE
Studio Narration JAMBO FM

NIMEVUTIWA NA FURSA MJI WA SERIKALI MTUMBA - JESCA KITAMBAA...

0:00 --:--

Mfanyabiashara na Mkurugenzi wa Kitambaa cheupe Investment, Jessica Kikumbi, amepongeza maendeleo ya Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma, akieleza kuwa miundombinu yake ya kisasa ni hatua muhimu katika kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi.

Jessica, ameyasema hayo baada ya kushiriki hafla ya uzinduzi wa mji huo leo Oktoba 30, 2026, akivutiwa na majengo ya kisasa, miundombinu bora na uwepo wa wizara mbalimbali katika eneo moja.

Akizungumzia maono ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuhusu ujenzi wa Smart City, amesema matumizi ya teknolojia na mifumo ya kisasa yanafungua njia kuelekea Tanzania ya kidijitali.

Amesema Mtumba siyo tu kitovu cha shughuli za Serikali, bali pia ni eneo lenye fursa mpya za biashara, uwekezaji na ajira, hususan kwa vijana na wanawake.

Join the conversation

What do you think about this story?

Share a useful perspective and keep the discussion respectful.

Keep reading

View all news
ON AIR
Jambo Assistant Tayari kukusaidia
JAMBO FM INTELLIGENCE

Kikomo cha maswali 6 kimefikiwa.Jaribu tena baada ya .
Utafiti utafunguka kwenye ukurasa kamili

Majibu ya AI yanaweza kuwa na makosa.