Skip to main content

NETANYAHU APATA USHINDI BILA TABASAM ISRAEL, UCHAGUZI KURUDIWA?

Muungano wa kisiasa, unaongozwa na Waziri Mkuu wa Israeli, Benjamin Netanyahu umeshinda uchaguzi mkuu uliofanyika siku ya Jumanne,

NETANYAHU APATA USHINDI BILA TABASAM ISRAEL, UCHAGUZI KURUDIWA?
Studio Narration JAMBO FM

NETANYAHU APATA USHINDI BILA TABASAM ISRAEL, UCHAGUZI KURUDI...

0:00 --:--

Muungano wa kisiasa, unaongozwa na Waziri Mkuu wa Israeli, Benjamin Netanyahu umeshinda uchaguzi mkuu uliofanyika siku ya Jumanne,

Hata hivyo, ushindio huo haukutosha kupata idadi ya wabunge wanaohitajika, ili kuunda serikali.

Matokeo ya mwisho, yaliyotolewa hii leo Oktoba 30, 2026, yanaonesha kuwa Netanyahu na muungano wake, umepata viti 53 wakatinwalitakiwa kuwa na viti 61 kati ya 120 vinavyowaniwa bungeni.

Kwa upande wa Muungano wa mpinzani wa Netanyahu, Gadi Eisenkot, wenyewe umepata viti 48 huku vyama vya kiarabu vikipata viti 19.

Kwa matokeo hayo sasa Netanyahu na Eisenkot wanakabiliwa na kibarua kigumu cha kutafuta uungwaji mkono kutoka kwa vyama vingine, ili kufikia viti 61 kuunda serikali.

Aidha, wapo hakutakuwa na maelewano katika wiki kadhaa zijazo, kuna uwezekano mkubwa wa nchi hiyo kuwa na uchaguzi mkuu mwingine wa marudio.

Join the conversation

What do you think about this story?

Share a useful perspective and keep the discussion respectful.

Keep reading

View all news
ON AIR
Jambo Assistant Tayari kukusaidia
JAMBO FM INTELLIGENCE

Kikomo cha maswali 6 kimefikiwa.Jaribu tena baada ya .
Utafiti utafunguka kwenye ukurasa kamili

Majibu ya AI yanaweza kuwa na makosa.