Kufuatia kujiuzulu kwa Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimempendekeza Deogratius Ndejembi, kushika nafasi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kwa hatua hiyo, jina la Ndejembi litawasilishwa Bungeni jijini Dodoma, kwa ajili ya kupigiwa kura na wabunge na endapo litapitishwa, ataapishwa kushika wadhifa huo rasmi.
Discussion
Reader comments
0 contributions