Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa, Wazo Mwang'onda ameweka jiwe la Msingi katika mradi wa Daraja kiunganishi la Komoto na Sigino lenye thamani ya Shilingi Millioni 900.4
Serikali imeona adha wanayopata kwa ukosefu wa Miundombinu inayorahisishia katika Shughuli za Wananchi na Huduma muhimu kwa wakazi wa Sigino kwa kuwa litachochea ukuaji wa Uchumi na kurahisisha upatikanaji wa Huduma.

#Tanzania ni Yetu Sote Tushikamane Kwa Pamoja kuleta Maendeleo





Discussion
Reader comments
0 contributions