Skip to main content

MTOTO WA MUSEVENI AVIFUNGIA VYOMBO VYA HABARI VYA NMG UGANDA

Mkuu wa Majeshi ambaye pia ni mtoto wa Rais wa Uganda, Muhoozi Kainerugaba, amevifungia Vyombo vya Habari vya Nation Media Group nchini humo, vya NTV Uganda, Spark TV na Daily Monitor.

Taarifa zilizochapishwa hii leo, zimeeleza kuwa Wanajeshi wamezingira na kuzuia shughuli katika ofisi za vyombo hivyo, kufuatia agizo la Jenerali huyo ikielezwa kuwa ni kutokana na habari hasi zinazochapishwa na kurushwa na vyombo hivyo kuhusu Viongozi wakuu wa nchi na namna serikali inavyoendesha shughuli zake.

Mkuu wa Majeshi wa Uganda, Muhoozi Kainerugaba.

Hata hivyo, htua hiyo imezua mjadala mkali nchini humo, huku wakihoji ongezeko la nguvu ya Muhoozi katika kuamua mambo bila kujali matokeo yake.

Join the conversation

What do you think about this story?

Share a useful perspective and keep the discussion respectful.

Keep reading

View all news
ON AIR
Jambo Assistant Tayari kukusaidia
JAMBO FM INTELLIGENCE

Kikomo cha maswali 6 kimefikiwa.Jaribu tena baada ya .
Utafiti utafunguka kwenye ukurasa kamili

Majibu ya AI yanaweza kuwa na makosa.