Skip to main content

MOTSEPE ATAKA UAMUZI WA CAF WA KUIPOKA SENEGAL USHINDI UHESHIMIWE

Rais wa Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF), Patrice Motsepe amesema uamuzi wa Bodi ya juu ya shirikisho hilo, wa kuipoka ubingwa wa AFCON timu ya Taifa ya Senegal, unatakiwa kuheshimiwa.

Akizungumza na Wanahabari, Machi 18, 2026 Motsepe alisema, maamuzi hayo yaliyofikiwa na CAF na bodi yake ya nidhamu, yalikuwa ni ya viwango vya juu na kwamba ndiyo msimamo kwasasa ingawa Senegal pia inaweza kukata rufaa CAS.

Rais wa Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF), Patrice Motsepe.

Hata hivyo, uamuzi huo wa mezani wa mchezo wa fainali ya AFCON 2025 uliofanyika Januari 18, 2026, umepokea kwa hisia kwa tofauti, huku baadhi ya wanasoka maarufu duniani, wakiukosoa nankutoa matamko.

Join the conversation

What do you think about this story?

Share a useful perspective and keep the discussion respectful.

Keep reading

View all news
ON AIR
Jambo Assistant Tayari kukusaidia
JAMBO FM INTELLIGENCE

Kikomo cha maswali 6 kimefikiwa.Jaribu tena baada ya .
Utafiti utafunguka kwenye ukurasa kamili

Majibu ya AI yanaweza kuwa na makosa.