Skip to main content

MNYAMBWA JELA MIAKA 30 KWA UBAKAJI

Mahakama ya Wilaya ya Dodoma, imemhukumu Mnyambwa Ngkhabi Mnyalifwa (50), mkazi wa Nchinila Wilaya ya Bahi, kifungo cha miaka 30 jela pamoja na kulipa fidia ya shilingi milion Moja kwa mhanga, baada ya kupatikana na hatia ya kosa la ubakaji.

Mshtakiwa huyo, anadaiwa kiwa alitenda kosa hilo Oktoba 16, 2025 ambapo alimbaka mtoto wa kike mwenye (10) na alikamatwa baada ya tukio hilo kisha kufikishwa Mahakamani.

Hukumu hiyo, ilitolewa Aprili 2, 2026 na Hakimu Christine, baada ya Mahakama kuridhika na ushahidi uliotolewa na upande wa mashtaka.

Join the conversation

What do you think about this story?

Share a useful perspective and keep the discussion respectful.

Keep reading

View all news
ON AIR
Jambo Assistant Tayari kukusaidia
JAMBO FM INTELLIGENCE

Kikomo cha maswali 6 kimefikiwa.Jaribu tena baada ya .
Utafiti utafunguka kwenye ukurasa kamili

Majibu ya AI yanaweza kuwa na makosa.