Skip to main content

MJI WA SERIKALI MTUMBA KURAHISISHA UTARATIBU SHUGHULI ZA SERIKALI, UTOAJI HUDUMA KWA WANANCHI

Picha mbalimbali zikionesha majengo ya kisasa ya wizara na taasisi za Serikali katika Mji wa Serikali wa Mtumba, jijini Dodoma. Mradi huo unajumuisha majengo 24 ya wizara na 13 ya taasisi za Serikali, pamoja na mtandao wa barabara za lami wenye urefu wa kilomita 57.1 unaounganisha maeneo mbalimbali ya mji.

MJI WA SERIKALI MTUMBA KURAHISISHA UTARATIBU SHUGHULI ZA SERIKALI, UTOAJI HUDUMA KWA WANANCHI
Studio Narration JAMBO FM

MJI WA SERIKALI MTUMBA KURAHISISHA UTARATIBU SHUGHULI ZA SER...

0:00 --:--

Picha mbalimbali zikionesha majengo ya kisasa ya wizara na taasisi za Serikali katika Mji wa Serikali wa Mtumba, jijini Dodoma. Mradi huo unajumuisha majengo 24 ya wizara na 13 ya taasisi za Serikali, pamoja na mtandao wa barabara za lami wenye urefu wa kilomita 57.1 unaounganisha maeneo mbalimbali ya mji.

Miundombinu hiyo inatarajiwa kuzinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Oktoba 30, 2026, huku wageni mbalimbali wa kitaifa na kimataifa wakitarajiwa kushiriki katika hafla hiyo.

Mji huo pia umewekewa taa za barabarani, mifumo ya mifereji ya maji ya mvua pamoja na miundombinu ya maji, umeme na mawasiliano kukamilika kwa miundombinu hiyo kunalenga kuboresha mazingira ya kazi kwa watumishi wa umma, kurahisisha uratibu wa shughuli za Serikali na kuwawezesha wananchi kupata huduma kwa urahisi zaidi.

Join the conversation

What do you think about this story?

Share a useful perspective and keep the discussion respectful.

Keep reading

View all news
ON AIR
Jambo Assistant Tayari kukusaidia
JAMBO FM INTELLIGENCE

Kikomo cha maswali 6 kimefikiwa.Jaribu tena baada ya .
Utafiti utafunguka kwenye ukurasa kamili

Majibu ya AI yanaweza kuwa na makosa.