Skip to main content

MHUBIRI TATA MACKENZIE AKUTWA NA KESI YA KUJIBU VIFO VYA WATU 191

Mhubiri tata wa Kenya, Paul Mackenzie na wenzie 30 akiwemo mkewe, wamekutwa na hatia kwa mauaji ya watoto 190 na mtu mzima mmoja.

MHUBIRI TATA MACKENZIE AKUTWA NA KESI YA KUJIBU VIFO VYA WATU 191
Studio Narration JAMBO FM

MHUBIRI TATA MACKENZIE AKUTWA NA KESI YA KUJIBU VIFO VYA WAT...

0:00 --:--

Mhubiri tata wa Kenya, Paul Mackenzie na wenzie 30 akiwemo mkewe, wamekutwa na hatia kwa mauaji ya watoto 190 na mtu mzima mmoja.

Uamuzi huo, umetolewa Oktoba 19, 2026 na Mahakama Kuu ya Mombasa dhidi ya Mackenzie, mwanzilishi wa kanisa la Good News International.

Awali, Mackenzie alikana mashtaka ya mauaji, akisema hakuwalazimisha waathiriwa kujinyima chakula, utetezi ambao ulikataliwa na Mahakama.

Hukumu dhidi yao itatolewa Novemba 6, 2016 katika kikao cha mahakama kilicho wazi.

Join the conversation

What do you think about this story?

Share a useful perspective and keep the discussion respectful.

Keep reading

View all news
ON AIR
Jambo Assistant Tayari kukusaidia
JAMBO FM INTELLIGENCE

Kikomo cha maswali 6 kimefikiwa.Jaribu tena baada ya .
Utafiti utafunguka kwenye ukurasa kamili

Majibu ya AI yanaweza kuwa na makosa.