Skip to main content

MFUMO WA KUKATA POINTI KWA MADEREVA UMESITISHWA - KATAMBI

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, ametangaza kusitishwa kwa utekelezaji wa mfumo wa ukataji wa pointi kwa madereva.

MFUMO WA KUKATA POINTI KWA MADEREVA UMESITISHWA  - KATAMBI
Studio Narration JAMBO FM

MFUMO WA KUKATA POINTI KWA MADEREVA UMESITISHWA - KATAMBI

0:00 --:--

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, ametangaza kusitishwa kwa utekelezaji wa mfumo wa ukataji wa pointi kwa madereva.

Mfumo huo wa pointi 15, umezua mjadala miongoni mwa madereva, hyku baadhi wakieleza hofu kuwa kukusanya pointi kunaweza kusababisha leseni zao kufungiwa na hivyo kuathiri ajira zao.

Hatua hiyo, inakuja kufuatia malalamiko ya madereva wa mabasi na malori, juu ya kile walichokiita kiwa ni ukandamozaji.

Join the conversation

What do you think about this story?

Share a useful perspective and keep the discussion respectful.

Keep reading

View all news
ON AIR
Jambo Assistant Tayari kukusaidia
JAMBO FM INTELLIGENCE

Kikomo cha maswali 6 kimefikiwa.Jaribu tena baada ya .
Utafiti utafunguka kwenye ukurasa kamili

Majibu ya AI yanaweza kuwa na makosa.