Skip to main content

MALISA AMUOMBA RADHI RAIS SAMIA, CCM .. "NIMETAMBUA KOSA LANGU'

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Beno Malisa, amemuomba radhi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuteleza katika utekelezaji wa majukumu yake.

MALISA AMUOMBA RADHI RAIS SAMIA, CCM .. "NIMETAMBUA KOSA LANGU'
Studio Narration JAMBO FM

MALISA AMUOMBA RADHI RAIS SAMIA, CCM .. "NIMETAMBUA KOSA LAN...

0:00 --:--

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Beno Malisa, amemuomba radhi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuteleza katika utekelezaji wa majukumu yake.

Malisa ametoa kauli hiyo hii leo Novemba 3, 2026,katika hafla ya makabidhiano ya ofisi ya Mkuu wa Mkoa, iliyofanyika katika ukumbi wa Isike Mwanakiyungi.

Alitenguliwa katika nafasi ya Mkuu wa Mkoa Oktoba 28, 2026 na nafasi yake kuchukuliwa na Angelina Mabula ambaye aliapishwa rasmi kushika nyadhfa hiyo Nevemba 2, 2026.

Join the conversation

What do you think about this story?

Share a useful perspective and keep the discussion respectful.

Keep reading

View all news
ON AIR
Jambo Assistant Tayari kukusaidia
JAMBO FM INTELLIGENCE

Kikomo cha maswali 6 kimefikiwa.Jaribu tena baada ya .
Utafiti utafunguka kwenye ukurasa kamili

Majibu ya AI yanaweza kuwa na makosa.