Mahakama Kuu ya Tanzania, imetengua amri ya kukamatwa na kurejeshwa nchini kwa Mwanaharakati wa Mitandaoni, Edger Mwakabela (Sativa), ikidaiwa kuwa amri hizo hazikuwa halali kisheria.
Uamuzi huo, umetolewa na Jaji wa Mahakama Kuu, Dafina Ndumbaro Septemba 29, 2026 baada ya kusikiliza rufaa ya Sativa dhidi ya uamuzi wa Mahakama.

Alisema, hati ya kukamatwa pamoja na maagizo ya kumrejesha Sativa kutoka Kenya, hayakuwa na nguvu za kisheria.
Discussion
Reader comments
0 contributions