Skip to main content

MAFUTA YAPANDA, EWURA IKITANGAZA BEI MPYA

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei kikomo za mafuta, zinazoanza kutumika hii leo, Novemba 4, 2026, huku bei za petroli, dizeli na mafuta ya taa zikipanda.

MAFUTA YAPANDA, EWURA IKITANGAZA BEI MPYA
Studio Narration JAMBO FM

MAFUTA YAPANDA, EWURA IKITANGAZA BEI MPYA

0:00 --:--

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei kikomo za mafuta, zinazoanza kutumika hii leo, Novemba 4, 2026, huku bei za petroli, dizeli na mafuta ya taa zikipanda.

Taarifa ya EWURA iliyotolewa kwa umma, imeeleza kuwa bei kikomo za rejareja kwa Dar es salaam ni shilingi 4,083 kwa lita ya petroli, shilingi 4,128 kwa dizeli na Shilingi 4,117 kwa mafuta ya taa.

Join the conversation

What do you think about this story?

Share a useful perspective and keep the discussion respectful.

Keep reading

View all news
ON AIR
Jambo Assistant Tayari kukusaidia
JAMBO FM INTELLIGENCE

Kikomo cha maswali 6 kimefikiwa.Jaribu tena baada ya .
Utafiti utafunguka kwenye ukurasa kamili

Majibu ya AI yanaweza kuwa na makosa.