Skip to main content

MAFURIKO YASABABISHA VIFO VYA WATU 160 NEPAL

Mafuriko makubwa yaliyotokea Nchini Nepal, yamesababusha vifo vya zaidi ya Watu 160, kufuatia maporomoko ya udongo, miamba na barafu kuingia katika Mto kwenye mpaka wa Taifa hilo na eneo la Tibet, China.

Mashuhuda, picha mjongeo na hata vyanzo mbalimbali vya Habari vimearifu na kuonesha na maji yenye kasi yenye mchanganyiko wa tope na vifusi yakisomba nyumba, magari, barabara na miundombinu.

Takribani Watu 826 wameripotiwa kupotea upande wa Nepal, huku karibu 600 kati yao wakiwa raia wa kigeni na upande wa Tibet, Watu 558 hawajulikani walipo, 260 wakiwa ni raia kigeni.

Join the conversation

What do you think about this story?

Share a useful perspective and keep the discussion respectful.

Keep reading

View all news
ON AIR
Jambo Assistant Tayari kukusaidia
JAMBO FM INTELLIGENCE

Kikomo cha maswali 6 kimefikiwa.Jaribu tena baada ya .
Utafiti utafunguka kwenye ukurasa kamili

Majibu ya AI yanaweza kuwa na makosa.