Shida ya usafiri katika vituo mbalimbali Nchini imetikisa hali ya hewa hii leo Septemba 19, 2026, baada ya kudaiwa kuwepo kwa mgomo wa Madereva wakipinga mfumo wa kukatwa pointi.

Hili linatukia ikiwa ni siku chache baada ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi kudai kuwa mfumo wa pointi kwa Madereva upo katika hatua ya majaribio.
Discussion
Reader comments
0 contributions